Friday, 30 November 2012

MGENI WA MAISHA PLUS TOKA BURUNDI

   Kijijini cha Maisha kilitembelewa na mgeni kutoka Burundi. AISHA AMURI NDIMUBANDI anafanya kazi na Radio RPA Bujumbura.. Pichani akiwa na Babu..

Jumapili hii mshindi wa Maisha Plus 2012 atapatikana.. Presha imepanda kijijini.. Tafadhali endelea kumpiga kura mshiriki umpendae ili ashinde..

Tunaomba radhi kwa kuchelewa kuanza kipindi... Karibu TBC1 sasa kwa kipindi mkipendacho.. Powered by NMB and OXFAM.
 — with Aisha Amuri Ndimubandi.

MAISHA PLUS FACE BOOK MEMBERS KIJIJINI


Friday, 23 November 2012

MAISHA PLUS INATEGEMEA KURA YAKO KWA WASHIRIKI

WASHIRIKI KUMI (10) KIKAANGONI WIKI HII... WATATU (3) KATI YAO KUYAAGA MASHINDANO LEO USIKU..

Kutokana na kura za mtoano (nominations) zilizopigwa, washiriki 
RASHID NDUNDUKE (MP 03), 
BAHATI KISULA (MP 05),
DORA MHANDO (MP 06),
SWAUMU SHABANI (MP 10),
MAGRETH MSECHU (MP 11),
TATU MASOUD (MP 13),
SAAD MOHAMED (MP 16),
GABRIEL LWINGA (MP 18),
HIDAYA ABDALLAH (MP 20) na  JONATHAN JOACHIM (MP 22) wako kikaangoni wiki hii.
Kupiga kura kwa mshiriki umpendae andika MP acha nafasi NAMBA YA MSHIRIKI kisha tuma kwenda 15584 ama tembelea www.maishaplus.tv/how-to-vote.html kwa taarifa zaidi. Kumbuka kura yako ndio mwamuzi.. Washiriki watatu (3) wenye kura chache watayaaga mashindano leo usiku.
Powered by NMB and OXFAM.

MAISHA PLUS NDIO MWENDOUBUNIFU NDANI YA MAISHA PLUS NI WAJIBU