Friday, 23 November 2012

MAISHA PLUS INATEGEMEA KURA YAKO KWA WASHIRIKI





WASHIRIKI KUMI (10) KIKAANGONI WIKI HII... WATATU (3) KATI YAO KUYAAGA MASHINDANO LEO USIKU..

Kutokana na kura za mtoano (nominations) zilizopigwa, washiriki 
RASHID NDUNDUKE (MP 03), 
BAHATI KISULA (MP 05),
DORA MHANDO (MP 06),
SWAUMU SHABANI (MP 10),
MAGRETH MSECHU (MP 11),
TATU MASOUD (MP 13),
SAAD MOHAMED (MP 16),
GABRIEL LWINGA (MP 18),
HIDAYA ABDALLAH (MP 20) na  JONATHAN JOACHIM (MP 22) wako kikaangoni wiki hii.
Kupiga kura kwa mshiriki umpendae andika MP acha nafasi NAMBA YA MSHIRIKI kisha tuma kwenda 15584 ama tembelea www.maishaplus.tv/how-to-vote.html kwa taarifa zaidi. Kumbuka kura yako ndio mwamuzi.. Washiriki watatu (3) wenye kura chache watayaaga mashindano leo usiku.
Powered by NMB and OXFAM.









No comments:

Post a Comment